Alhamisi, 2 Oktoba 2014

MAMA NTILIE KATIKA KUTAFUTA RIDHIKI MAZINGIRA YAO NI SALAMA KWA MLAJI

Mama ntilie utegemewa na watu wengi katika kuakikisha wanapata chakula ila kunachangamoto nyingi wanazokutana nazo katika kuakikisha wanapata ridhiki.

Moja ya matatizo wanayokutananayo ni kumwagiwa chakula na mgambo na kusema ni kitu kinachowakatisha tamaa na kuwafanya wafanye kazi zao kwawoga kutokana na kumwagiwa chakula na kulazimishwa kuama na kwenda sehemu nyingine ambayo kwao ni ngumu kupata wateja.


Mama intilie akiachaa chakula cha asubuhi kwa wateja wake huku wateja wengine wakionekana wakipata chai
Bado mazingira ya kufanyia kazi kwao imekua ni changamoto na kufanya kupata wateja kwa tabaka fulani ya watu hii kwao inapelekea kupata wateja wachache.
Picha mama Elias (kushoto) na mama Ramadhan wakiandaa chakula pembeni mwa barabara

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni