
Katika ufunguzi huo Mh. Mizengo pinda amesema lengo la kuwa na hospitali na wodi nyingi za wanawake ni kusaidia kupunguza idadi ya vifo vya wa mama na mtoto wakati wa kusubiria huduma ya Afya na kutaka kila kata iwe na kituo cha Afya ili kuokoa vifo vya wanawake.
Uzinduzi wa wodi hiyo umeambatana na msaada wa vyandarua 100 na mablangeti 300 kutoka kwa Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, SamuelSitta katika mkutano wa hadhara aliohutubia Mjini Urambo.
![]() |
| Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea msaada kwa niaba ya halmashauri ya Wilaya ya Urambo |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni