| Mbunge mh Abbas Mtemvu akikabidhiwa T shirt wakati akifungua mfuko huo wa vikoba |
Ufunguzi huo umefanyika katika Viwanja vya TCC Clud Jijini Dar es salaam Mbunge huyo amewataka wananchi kutumia mfuko huo kwa kuweka fedha ambazo zitawasaidia pindi watakapokuwa wanamaitaji makubwa ya fedha hizo na kuwasisitizia kuhushimu mfuko huo kwakua utakua ni mali yao.
Pia Mh. Mtemvu amewataka wanawake kuutumia mfuko huo katika kuakikisha wanatumia fulsa hiyo katika kuhakikisha wanakamilisha mipango yao ya kifamilia na maendeleo.
| Baadhi ya wanachama wakishuhudia uzinduzi wa vikoba hivyo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni