Prashant Peter dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendesha kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao
Mashindano hayo yamekua na manufaha kwa wanawake wengi wanaoshiriki na kuwafanya wapige hatua kimaisha na kuwa wajumbe wazuri katika kusaidia matatizo wanayopata wanawake na watoto hasa kwenye afya.

Kumekuwa na watu wachache ambao wamekuwa wakiwasaidia baadhi ya makundi kama wanawake katika kuwavusha katika hatua nyingine na mashindano haya ya ulembo yamewawezesha wanawake wengi ambao wameitumia fursa hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni